Home
»
BURUDANI
» Uumbe wa Mbasha instagram wazua maswali mazito,kumbe alikuwa mume bwege ili tu anusulu ndoa yake
LEO Januari 21, 2017 mwimbaji wa nyimbo za Injili hapa Bongo, Emmanuel Mbasha ameweka wazi kuwa jambo la kuelewana kwenye masuala la ndoa siyo la ‘kitoto’, linahitaji mmoja kati ya wanandoa ajifanye mjinga ili uhusiano yaweze kudumu.
Mbasha ambaye amekuwa kwenye mgogoro wa muda mrefu na aliyekuwa mkewe Flora Mbasha hadi kufikia hatua ya kupelekana mahakamani na ndoa yao kuvunjwa ameweka picha yenye maneno haya kupitia mtandao wa Instagram.
Tafsiri katika picha hiyo ya Mbasha kwa baadhi ya followers wake wamehoji endapo yeye aliachana na Flora kutokana na mmoja wao kushindwa kujifanya bwege?
Soma hii hapa chini.
“Ukiona Ndoa Imedumu kuna mmoja kajifanya Bwege”
mbasha
Emmanuel na Flora walikuwa wanandoa na kubarikiwa kupata mtoto mmoja kisha kugombana na kufikia hatua ya kuachana na sasa kila mmoja anaishi kivyake.
About Author

Advertisement

Related Posts
- DIAMOND Aelezea Jinsi Young Killer Alivyopagawa Baada ya Kumpa Biti Wafanya Collabo24 Apr 20170
Msanii wa muziki wa Hiphop Tanzania anaewakilisha vema rock city Young killer Msodoki alipagawa ...Read more »
- PAUL Makonda na Bongo Movie Mchawi Wenu Huyu Hapa..21 Apr 20170
Matatizo ya Bongo movies hayajaletwa na kuuzwa kwa filamu za nje nchini hili hata mtoto mdogo an...Read more »
- OMMY Dimpoz Amepotea Kwenye Ramani ya Muziki Bongo...Mwenyewe Afunguka Haya21 Apr 20170
MWANAMUZIKI Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ ametoa povu kufuatia madai kuwa, hivi sasa kapotezw...Read more »
- NDOA Yangu Haivunjiki Ng’o!- Chameleone20 Apr 20170
Chameleone amekanusha tetesi kwamba mkewe Daniella Atim amekwenda mahakamani kudai talaka.Taar...Read more »
- Yusuph Mlela Amtandika Matusi Nay wa Mitego20 Apr 20170
Msanii wa filamu nchini Yusuph Mlela amemtusi rapa Nay wa Mitego kwa kile anachodai kuwa msan...Read more »
- U-HEARD: Shamsa Ford ameelezea kisa cha kupigwa ngumi20 Apr 20170
April 19, 2017 kupitia U heard ya XXL ya Clouds FM mtangazaji Soudy Brown ametuletea stori inayo...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.