Mpanda israel Mpanda israel Author
Title: TAZAMA JINSI OBAMA ALIVYOMUAGA TRUMP NA KUMUACHIA IKULU
Author: Mpanda israel
Rating 5 of 5 Des:
Kutoka kushoto ni First Lady Melania Trump, Karen Pence, Rais Donald Trump, Makamu wa Rais Mike Pence, Barack Obama, Joe Biden, Michelle...


Kutoka kushoto ni First Lady Melania Trump, Karen Pence, Rais Donald Trump, Makamu wa Rais Mike Pence, Barack Obama, Joe Biden, Michelle Obama na Jill Biden wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kupanda helikopta.

obama
Obama na Trump (katikati) wakiekea katika helikopta wakifuatwa nyuma na  Makamu wa Rais Pence na aliyekuwa makamu wa rais Joe Biden.

obama-exit-17
Safari ya Obama na mke wake ikianza kuelekea katika helikopta.
obama-exit-5
Muonekano wa helikopta hiyo kwa karibu.
obama-exit-21
…Viongozi hao wakiagana.
obama-exit-20
Wakiagana.
obama-exit-19
Trump akiwaaga Wamarekani.
obama-exit-14
Obama akiwaaga kabla ya kuondoka. obama-exit-3
obama-exit-8obama-exit-12

obama-exit-9

obama-exit-13
Wananchi wakichukua tukio hilo kwa picha

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top