UVCCM Mkoa wa Mwanza WhatsApp Group wachangia Madawati wilaya ya Ukerewe*
Mapema Leo Hii Umoja wa Vijana Mkoa wa Mwanza kupitia group lao la WhatsApp Umekabidhi Tshs *315,000/=* _(Miatatu kumi na Tano elfu tu_) kwa Mkuu wa wilaya ya Ukerewe Ndg *Estomihn Fransis Chang’ah* Kama Mchango wao Kwaajili ya Kusaidia Upungufu wa Madawati Katika wilaya ya Ukerewe Mkuu wa wilaya Hiyo Amewashkuru Sana vijana Wa Mkoa wa Mwanza Kupitia Umoja wa Group la WhatsApp hasa Chief Admn *Hussein Egobano* na wengine kwa kuhamasisha Mchango Huu
_Siyo Haba kwa hiki mlichojitoa Asiyeshukuru wa Kidogo hata akipewa kikubwa hatashukuru_
Amesema *UVCCM* Mkoa wa Mwanza wamefungua Njia Anakaribisha wadau wengine Wa Maendeleo Kuweza Kuchangia Chochote watakachokuwanacho
Aidha Katibu msaidizi wa CCM wa wilaya ya Ukerewe Ndg *Lazack Muya* Amewashukuru sana Waliochangia Kwa Namna moja au Nyingine lengo lilikuwa ni kufanikisha Amewaomba vijana waendelee na Moyo huo Popote waliko na Mungu awaongezee pale walipotoa ,
Pia katibu msaidizi wa CCM wilaya ya Ukerewe alimpongeza Kaimu katibu Mkuu wa UVCCM Taifa ndugu *Shaka Hamdu Shaka* kwa ubunifu alioutumia kuwaagiza makatibu wa uvccm kata, kila kata wachangie dawati moja moja huu ni mfano wa kuigwa.
_*Kidumu Chama cha Mapinduzi*_
*Imetolewa na*
*Mwl Masatu Bure Salum*
_Ag Chief Admin_
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment