Mpanda israel Mpanda israel Author
Title: Mwanafunzi ajiua kwa kuambiwa arudie shule
Author: Mpanda israel
Rating 5 of 5 Des:
Mwanafunzi mmoja wa shule ya sekondari Luora nchini Kenya amejiua kwa kunywa sumu baada ya kuambiwa arudie kidato cha tatu. Mwanafunzi huy...
Mwanafunzi mmoja wa shule ya sekondari Luora nchini Kenya amejiua kwa kunywa sumu baada ya kuambiwa arudie kidato cha tatu.

Mwanafunzi huyo aliyejulikana kwa jina la Clifford Odhiambo alikataliwa kuingia kidato cha nne na walimu wake kutokana na matokeo yake ya kidato cha tatu kuwa mabaya.

Odhiambi alipoteza maisha katika hospitali ya rufaa ya county nchini humo alipokimbizwa kwa ajili ya matibabu.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top