Mpanda israel Mpanda israel Author
Title: Muonekano was magari mapya ya timu ya simba
Author: Mpanda israel
Rating 5 of 5 Des:
Basi la klabu ya Simba aina ya Yutong sasa lina muonekano mpya baada ya wadhamini TBL kupitia Kilimanjaro kutoongeza mkataba mpya. Mwon...
Basi la klabu ya Simba aina ya Yutong sasa lina muonekano mpya baada ya wadhamini TBL kupitia Kilimanjaro kutoongeza mkataba mpya.

Mwonekano wake safari hii, kuna picha za wachezaji mbalimbali. Je, una maoni kuhusiana na mwonekano wake?


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top