Kwa hapa Tanzania baadhi ya miji ambayo usafiri wa baiskeli ni mkubwa zaidi kuliko Magari ni pamoja na Shinyanga ambako Baiskeli zimepewa jina la ‘daladala’ na ndizo zinazofanya safari za hapa na pale na kukupeleka mpaka mlangoni. Sasa katika rekodi za dunia utafiti uliofanywa ulionyesha kwamba kuna miji mingi duniani ambako Baiskeli ndio suluhisho la […]
The post Miji 20 duniani ambako Baiskeli zimetumika zaidi kuliko Magari appeared first on millardayo.com.
Post a Comment