Mpanda israel Mpanda israel Author
Title: Hivi ndivyo trump alivyoserebuka Mara baada ya kuapishwa kuwa Rais wa 45 wa Marekani
Author: Mpanda israel
Rating 5 of 5 Des:
Rais mpya wa Marekani, Donald Trump aliungana na First Lady Melania Trump kwenye hafla ya kusherehekea kuapishwa kwake, Ijumaa hii.  ...

Rais mpya wa Marekani, Donald Trump aliungana na First Lady Melania Trump kwenye hafla ya kusherehekea kuapishwa kwake, Ijumaa hii. 

Aliungana na wanajeshi wa nchi hiyo mjini Washington. Familia yake pamoja na Makamu wake, nayo ilikuwepo. Kwenye hotuba yake fupi kwenye hafla hiyo, Trump ameahidi mabadiliko makubwa kwenye sera za nchi yake. Tazama picha zaidi.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top