DR ABDALLAH POSSI AMEANDIKA BARUA YA KUJIUDHULU UBUNGE
Dr Abdallah Possi ameandika barua ya kujiuzulu ubunge akisema utakuwa uroho kuwa nje ya nchi na kuendelea kung'ang'ania kuwa mbunge.
Siku chache zilizopita Rais Magufuli alitengua uteuzi wake wa unaibu waziri na kumteua kuwa balozi.
Hongera kiongozi huo ndio uongozi bora na wewe ni kiongozi bora
ReplyDelete