Mpanda israel Mpanda israel Author
Title: Breaking news: Maamuzi mapya ya rais Magufuli kuhusu Anna Kilango
Author: Mpanda israel
Rating 5 of 5 Des:
Ni taarifa rasmi kutoka IKULU Dar es salaam juu ya maamuzi mapya ya Rais John Pombe Magufuli ambaye leo January 21 2017 amemteua Anne Kil...
Ni taarifa rasmi kutoka IKULU Dar es salaam juu ya maamuzi mapya ya Rais John Pombe Magufuli ambaye leo January 21 2017 amemteua Anne Kilango Malecela kuwa Mbunge kwenye bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Cheo cha mwisho alichopewa Anne Kilango kilikua ni ukuu wa mkoa wa Shinyanga lakini April 11 2016 Rais Magufuli alitengua […]

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top